2 Samweli 11:8 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 8 Mwishowe Daudi akamwambia Uria: “Shuka, nenda nyumbani kwako, uoshe miguu yako.”+ Basi Uria akatoka katika nyumba ya mfalme, na zawadi ya fadhili ya mfalme ikaletwa nyuma yake.
8 Mwishowe Daudi akamwambia Uria: “Shuka, nenda nyumbani kwako, uoshe miguu yako.”+ Basi Uria akatoka katika nyumba ya mfalme, na zawadi ya fadhili ya mfalme ikaletwa nyuma yake.