Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Samweli 14:32
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 32 Kwa hiyo Absalomu akamwambia Yoabu: “Tazama! Nilituma ujumbe kwako, nikisema, ‘Njoo hapa nikutume kwa mfalme, kusema: “Kwa nini nimekuja kutoka Geshuri?+ Ingalikuwa afadhali kama bado ningalikuwa kule. Na sasa acha niuone uso wa mfalme, na ikiwa ndani yangu mna kosa lolote,+ basi na aniue.”’”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki