-
2 Samweli 18:25Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
25 Kwa hiyo yule mlinzi akaita na kumwambia mfalme, kisha mfalme akasema: “Ikiwa yuko peke yake, kuna habari kinywani mwake.” Naye akazidi kuja, akaendelea kusogea karibu.
-