-
2 Samweli 19:25Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
25 Na ikawa kwamba alipokuja Yerusalemu kumpokea mfalme, ndipo mfalme akamwambia: “Kwa nini hukwenda pamoja nami, Mefiboshethi?”
-