-
2 Samweli 19:38Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
38 Basi mfalme akasema: “Kimhamu atavuka pamoja nami, nami nitamfanyia yaliyo mema machoni pako; na yote ambayo utaamua kuweka juu yangu nitakufanyia.”
-