1 Wafalme 2:36 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 36 Mwishowe mfalme akatuma watu na kumwita Shimei,+ akamwambia: “Jijengee nyumba katika Yerusalemu, nawe lazima ukae humo wala usitoke kwenda mahali hapa na pale.
36 Mwishowe mfalme akatuma watu na kumwita Shimei,+ akamwambia: “Jijengee nyumba katika Yerusalemu, nawe lazima ukae humo wala usitoke kwenda mahali hapa na pale.