1 Wafalme 9:16 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 16 (Farao mfalme wa Misri alikuwa amekuja na kuliteka Gezeri na kuliteketeza kwa moto, naye akawaua Wakanaani+ waliokaa katika hilo jiji. Basi akampa binti yake,+ mke wa Sulemani, kama zawadi ya kuagana.)
16 (Farao mfalme wa Misri alikuwa amekuja na kuliteka Gezeri na kuliteketeza kwa moto, naye akawaua Wakanaani+ waliokaa katika hilo jiji. Basi akampa binti yake,+ mke wa Sulemani, kama zawadi ya kuagana.)