-
1 Wafalme 13:12Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
12 Ndipo baba yao akawaambia: “Basi alienda kupitia njia gani?” Kwa hiyo wanawe wakamwonyesha ile njia ambayo yule mtu wa Mungu wa kweli aliyetoka Yuda alipitia akienda.
-