-
1 Wafalme 20:5Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
5 Baadaye wajumbe wakarudi na kusema: “Ben-hadadi amesema hivi, ‘Nilituma watu kwako, kusema: “Fedha yako na dhahabu yako na wake zako na wana wako utanipa.
-