25 Nawe ujihesabie jeshi linalolingana na jeshi lililoanguka kutoka upande wako, kukiwa na farasi kwa farasi na gari kwa gari; nasi tupigane nao katika nchi tambarare, tuone kama hatutakuwa na nguvu kuwashinda.”+ Basi akasikiliza sauti yao, akafanya vivyo hivyo.