2 Wafalme 20:6 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 6 Na hakika mimi nitaongeza miaka kumi na mitano kwa siku zako, nami nitakukomboa wewe pamoja na jiji hili kutoka katika mkono wa mfalme wa Ashuru, nami nitalilinda+ jiji hili kwa ajili yangu mwenyewe na kwa ajili ya Daudi mtumishi wangu.”’”+
6 Na hakika mimi nitaongeza miaka kumi na mitano kwa siku zako, nami nitakukomboa wewe pamoja na jiji hili kutoka katika mkono wa mfalme wa Ashuru, nami nitalilinda+ jiji hili kwa ajili yangu mwenyewe na kwa ajili ya Daudi mtumishi wangu.”’”+