2 Wafalme 11:5 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 5 Naye akawaamuru, akisema: “Hivi ndivyo mtakavyofanya: Sehemu ya tatu kati yenu mtaingia siku ya sabato na kuweka ulinzi mkali juu ya nyumba ya mfalme;+
5 Naye akawaamuru, akisema: “Hivi ndivyo mtakavyofanya: Sehemu ya tatu kati yenu mtaingia siku ya sabato na kuweka ulinzi mkali juu ya nyumba ya mfalme;+