-
2 Mambo ya Nyakati 35:9Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
9 Na Konania na Shemaya na Nethaneli ndugu zake na Hashabia na Yeieli na Yozabadi, wakuu wa Walawi, wakachangia Walawi kwa ajili ya wanyama wa pasaka wana-kondoo na wana-mbuzi elfu tano, na ng’ombe mia tano.
-