Esta 2:14 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 14 Jioni alikuwa akiingia, na asubuhi alikuwa akirudi katika nyumba ya pili ya wanawake iliyosimamiwa na Shaashgazi towashi wa mfalme,+ mlinzi wa masuria. Hakuwa akiingia tena kwa mfalme ila mfalme awe alipendezwa naye na aitwe kwa jina lake.+ Esta Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 2:14 w06 3/1 9 Esta Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 2:14 Mnara wa Mlinzi,3/1/2006, uku. 91/1/1991, uku. 31
14 Jioni alikuwa akiingia, na asubuhi alikuwa akirudi katika nyumba ya pili ya wanawake iliyosimamiwa na Shaashgazi towashi wa mfalme,+ mlinzi wa masuria. Hakuwa akiingia tena kwa mfalme ila mfalme awe alipendezwa naye na aitwe kwa jina lake.+