-
Zaburi 84:3Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
3 Hata ndege amepata nyumba,
Na mbayuwayu amepata kiota chake,
Ambapo ameweka vifaranga vyake—
Madhabahu yako kuu, Ee Yehova wa majeshi, Mfalme wangu na Mungu wangu!
-