Methali 30:17 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 17 Jicho ambalo humdhihaki baba na kudharau utii kwa mama+—kunguru wa bondeni wataling’oa na wana wa tai watalila.
17 Jicho ambalo humdhihaki baba na kudharau utii kwa mama+—kunguru wa bondeni wataling’oa na wana wa tai watalila.