-
Wimbo wa Sulemani 3:4Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
4 Punde tu baada ya kuwaacha nikampata yeye ambaye nafsi yangu imempenda. Nikamkamata, nisimwachilie, mpaka nilipokuwa nimemleta katika nyumba ya mama yangu na katika chumba cha ndani cha yeye aliyekuwa amenichukua mimba.
-