Wimbo wa Sulemani 5:6 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 6 Mimi mwenyewe nikamfungulia mpenzi wangu, kumbe mpenzi wangu alikuwa amegeuka, alikuwa amepita. Nafsi yangu ilikuwa imenitoka alipoongea. Nikamtafuta, nisimpate.+ Nikamwita, asiniitikie.
6 Mimi mwenyewe nikamfungulia mpenzi wangu, kumbe mpenzi wangu alikuwa amegeuka, alikuwa amepita. Nafsi yangu ilikuwa imenitoka alipoongea. Nikamtafuta, nisimpate.+ Nikamwita, asiniitikie.