-
Wimbo wa Sulemani 5:12Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
12 Macho yake ni kama njiwa kando ya mifereji ya maji, ambao wanaoga katika maziwa, wakiwa wameketi ndani ya vyombo vya mviringo.
-