Isaya 8:21 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 21 Na kila mtu hakika atapita kati ya nchi akiwa na mkazo sana na njaa;+ na itatukia kwamba kwa sababu ana njaa naye amejitia ghadhabu, kwa kweli atamlaani mfalme wake na Mungu+ wake naye hakika atakaza macho kuelekea juu. Isaya Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 8:21 ip-1 123-124 Isaya Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 8:21 Mnara wa Mlinzi,8/15/2013, uku. 11 Unabii wa Isaya 1, kur. 123-124
21 Na kila mtu hakika atapita kati ya nchi akiwa na mkazo sana na njaa;+ na itatukia kwamba kwa sababu ana njaa naye amejitia ghadhabu, kwa kweli atamlaani mfalme wake na Mungu+ wake naye hakika atakaza macho kuelekea juu.