Isaya 28:27 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 27 Kwa maana bizari nyeusi haisagwi kwa kifaa cha kupuria;+ wala gurudumu la gari la kukokotwa halizungushwi juu ya bizari. Kwa maana kwa kawaida bizari nyeusi hupigwa kwa fimbo,+ na bizari kwa fimbo ya mkono. Isaya Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 28:27 ip-1 296, 301 Isaya Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 28:27 Ufahamu, uku. 649 Unabii wa Isaya 1, kur. 296, 301 Amkeni!,11/8/1991, uku. 26
27 Kwa maana bizari nyeusi haisagwi kwa kifaa cha kupuria;+ wala gurudumu la gari la kukokotwa halizungushwi juu ya bizari. Kwa maana kwa kawaida bizari nyeusi hupigwa kwa fimbo,+ na bizari kwa fimbo ya mkono.