-
Isaya 29:8Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
8 Ndiyo, itakuwa tu kama wakati mtu aliye na njaa anapoota ndoto, na, tazama, anakula, naye huamka kumbe nafsi yake ni tupu;+ na kama tu wakati mtu aliye na kiu anapoota ndoto, na, tazama, anakunywa, naye huamka, na, tazama, amechoka nayo nafsi yake imekauka; hivyo ndivyo itakavyokuwa kwa ule umati wa mataifa yote yanayopiga vita juu ya Mlima Sayuni.+
-