Isaya 29:8 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 8 Naam, itakuwa kama mtu aliye na njaa anayeota kwamba anakula,Lakini anaamka akiwa na njaa,*Na kama mtu mwenye kiu anayeota kwamba anakunywa,Lakini anaamka akiwa amechoka na akiwa na kiu.* Hivyo ndivyo itakavyokuwa kwa umati wa mataifa yoteYanayopigana vita dhidi ya Mlima Sayuni.+ Isaya Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 29:8 ip-1 297-298 Isaya Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 29:8 Unabii wa Isaya 1, kur. 297-298
8 Naam, itakuwa kama mtu aliye na njaa anayeota kwamba anakula,Lakini anaamka akiwa na njaa,*Na kama mtu mwenye kiu anayeota kwamba anakunywa,Lakini anaamka akiwa amechoka na akiwa na kiu.* Hivyo ndivyo itakavyokuwa kwa umati wa mataifa yoteYanayopigana vita dhidi ya Mlima Sayuni.+