Isaya 30:17 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 17 Watu elfu moja watatetemeka kwa sababu ya kemeo la mmoja;+ mtakimbia kwa sababu ya kemeo la watano mpaka mtakapokuwa mmebaki kama mlingoti juu ya kilele cha mlima na kama ishara juu ya kilima.+ Isaya Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 30:17 ip-1 308 Isaya Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 30:17 Unabii wa Isaya 1, kur. 307-308
17 Watu elfu moja watatetemeka kwa sababu ya kemeo la mmoja;+ mtakimbia kwa sababu ya kemeo la watano mpaka mtakapokuwa mmebaki kama mlingoti juu ya kilele cha mlima na kama ishara juu ya kilima.+