Isaya 42:19 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 19 Ni nani aliye kipofu, ikiwa si mtumishi wangu, na ni nani aliye kiziwi kama mjumbe wangu ninayemtuma? Ni nani aliye kipofu kama yule aliyepewa thawabu, au kipofu kama mtumishi wa Yehova?+ Isaya Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 42:19 ip-2 44-45 Isaya Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 42:19 Unabii wa Isaya II, kur. 44-45
19 Ni nani aliye kipofu, ikiwa si mtumishi wangu, na ni nani aliye kiziwi kama mjumbe wangu ninayemtuma? Ni nani aliye kipofu kama yule aliyepewa thawabu, au kipofu kama mtumishi wa Yehova?+