Yeremia 12:12 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 12 Waporaji wamekuja kwenye mapito yote yaliyokanyagwa sana. Kwa maana upanga wa Yehova unakula kutoka mwisho mmoja wa nchi mpaka mwisho ule mwingine wa nchi.+ Hakuna amani kwa yeyote mwenye mwili.
12 Waporaji wamekuja kwenye mapito yote yaliyokanyagwa sana. Kwa maana upanga wa Yehova unakula kutoka mwisho mmoja wa nchi mpaka mwisho ule mwingine wa nchi.+ Hakuna amani kwa yeyote mwenye mwili.