21 Kwa hiyo mfalme akamtuma Yehudi+ kukichukua kile kitabu cha kukunjwa. Basi akakichukua kutoka katika chumba cha kulia chakula cha Elishama+ mwandishi.+ Na Yehudi akaanza kukisoma kwa sauti masikioni mwa mfalme na masikioni mwa wakuu wote waliokuwa wamesimama kando ya mfalme.