Yeremia 36:21 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 21 Basi mfalme akamtuma Yehudi+ aende kuleta kitabu hicho cha kukunjwa, naye akakileta kutoka katika chumba cha mwandishi Elishama. Yehudi akaanza kukisoma mbele ya mfalme na wakuu wote waliokuwa wamesimama karibu na mfalme.
21 Basi mfalme akamtuma Yehudi+ aende kuleta kitabu hicho cha kukunjwa, naye akakileta kutoka katika chumba cha mwandishi Elishama. Yehudi akaanza kukisoma mbele ya mfalme na wakuu wote waliokuwa wamesimama karibu na mfalme.