Yeremia 43:5 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 5 Basi Yohanani mwana wa Karea na wakuu wote wa majeshi wakachukua mabaki wote wa Yuda waliokuwa wamerudi kutoka katika mataifa yote ambako walikuwa wametawanywa, ili kukaa kwa muda katika nchi ya Yuda,+
5 Basi Yohanani mwana wa Karea na wakuu wote wa majeshi wakachukua mabaki wote wa Yuda waliokuwa wamerudi kutoka katika mataifa yote ambako walikuwa wametawanywa, ili kukaa kwa muda katika nchi ya Yuda,+