Yeremia 43:5 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 5 Badala yake, Yohanani mwana wa Karea na wakuu wote wa jeshi wakawachukua watu wote wa Yuda waliobaki ambao walikuwa wamerudi kuishi katika nchi ya Yuda kutoka katika mataifa yote ambako walikuwa wametawanywa.+
5 Badala yake, Yohanani mwana wa Karea na wakuu wote wa jeshi wakawachukua watu wote wa Yuda waliobaki ambao walikuwa wamerudi kuishi katika nchi ya Yuda kutoka katika mataifa yote ambako walikuwa wametawanywa.+