20 “Kwa hiyo hivi ndivyo Bwana Mwenye Enzi Kuu Yehova amesema, ‘Tazama, mimi niko dhidi ya tepe zenu ninyi wanawake, ambazo mnatumia kuwinda nafsi kana kwamba ni vitu vinavyoruka, nami nitazipasua kutoka mikononi mwenu na kuzifungulia nafsi mnazowinda, nafsi kana kwamba ni vitu vinavyoruka.+