-
Ezekieli 31:15Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
15 “Bwana Mwenye Enzi Kuu Yehova amesema hivi, ‘Hakika nitasababisha maombolezo katika siku yake ya kushuka kuingia katika Kaburi.*+ Nitakifunika kilindi cha maji kwa sababu yake, nipate kuvizuia vijito vyake na ili yale maji mengi yazuiliwe; na kwa sababu yake nitatia giza Lebanoni, na kwa sababu yake miti yote ya shambani itazimia.
-