-
Ezekieli 47:5Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
5 Naye akaendelea kupima elfu moja. Kilikuwa kijito ambacho sikuweza kupita katikati, kwa maana maji hayo yalikuwa yameinuka juu, maji ya mtu kuweza kuogelea, kijito ambacho hakingeweza kupitwa katikati.
-