Danieli 6:20 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 20 Alipolikaribia lile shimo, akampaazia Danieli sauti kwa huzuni. Mfalme akasema kwa sauti na kumwambia Danieli: “Ee Danieli, mtumishi wa Mungu aliye hai, je, Mungu wako unayemtumikia daima+ amekuokoa kutoka kwa hao simba?”+ Danieli Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 6:20 dp 126-127; w96 11/15 9 Danieli Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 6:20 Unabii wa Danieli, kur. 126-127 Mnara wa Mlinzi,11/15/1996, uku. 912/1/1988, uku. 14
20 Alipolikaribia lile shimo, akampaazia Danieli sauti kwa huzuni. Mfalme akasema kwa sauti na kumwambia Danieli: “Ee Danieli, mtumishi wa Mungu aliye hai, je, Mungu wako unayemtumikia daima+ amekuokoa kutoka kwa hao simba?”+