Habakuki 2:6 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 6 Je, hawa wote hawatamtungia neno la kimethali+ na maelezo ya kudokeza, mafumbo juu yake? Na mtu atasema, “ ‘Ole wake anayezidisha kisicho chake+—Ee mpaka wakati gani!+—na yule anayefanya deni lake mwenyewe liwe zito! Habakuki Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 2:6 w00 2/1 16 Habakuki Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 2:6 Mnara wa Mlinzi,2/1/2000, uku. 16
6 Je, hawa wote hawatamtungia neno la kimethali+ na maelezo ya kudokeza, mafumbo juu yake? Na mtu atasema, “ ‘Ole wake anayezidisha kisicho chake+—Ee mpaka wakati gani!+—na yule anayefanya deni lake mwenyewe liwe zito!