-
Mathayo 1:24Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
24 Ndipo Yosefu akaamka kutoka katika usingizi na kufanya kama malaika wa Yehova alivyokuwa amemwagiza, naye akamchukua mke wake na kwenda naye nyumbani.
-
-
Mathayo 1:24Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
24 Ndipo Yosefu akaamka kutoka usingizi wake na kufanya kama malaika wa Yehova alivyokuwa amemwelekeza, naye akampeleka mke wake nyumbani.
-
-
1. Nuru ya Kweli ya UlimwenguHabari Njema Kulingana na Yesu—Mwongozo wa Marejeo ya Video
-
-
Maria anapata mimba kupitia roho takatifu; jinsi Yosefu alivyotenda (gnj 1 30:58–35:29)
-