-
Mathayo 2:13Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
13 Walipokuwa wamekwisha kuondoka, tazama! malaika wa Yehova akaonekana katika ndoto kwa Yosefu, akisema: “Inuka, chukua huyo mtoto mchanga na mama yake mkimbie kuingia Misri, na kaeni huko mpaka nikupe agizo; kwa maana Herode yuko karibu kutafuta huyo mtoto mchanga amwangamize.”
-
-
1. Nuru ya Kweli ya UlimwenguHabari Njema Kulingana na Yesu—Mwongozo wa Marejeo ya Video
-
-
Yosefu anamchukua Maria na Yesu na kukimbilia Misri (gnj 1 55:53–57:34)
-