-
Mathayo 6:23Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
23 lakini ikiwa jicho lako ni bovu, mwili wako wote utakuwa wenye giza. Ikiwa kwa kweli nuru iliyo katika wewe ni giza, jinsi lilivyo kubwa giza hilo!
-