-
Mathayo 12:5Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
5 Au, je, hamjasoma katika Sheria kwamba siku za sabato makuhani katika hekalu huitendea sabato kama si takatifu na huendelea kuwa bila hatia?
-