-
Mathayo 13:19Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
19 Yeyote asikiapo neno la ufalme lakini haipati maana, yule mwovu huja na kunyakua kile ambacho kimepandwa moyoni mwake; huyo ndiye aliyepandwa kando ya barabara.
-