-
Mathayo 14:19Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
19 Halafu akauamuru umati uegame juu ya nyasi naye akachukua ile mikate mitano na samaki wawili, na, akitazama juu mbinguni, akasema baraka na, baada ya kuimega ile mikate, akaigawa kwa wanafunzi, nao wanafunzi wakaigawa kwa ule umati.
-