-
Mathayo 15:38Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
38 Na bado wale waliokula walikuwa wanaume elfu nne, bila kuhesabu wanawake na watoto wachanga.
-
-
Mathayo 15:38Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
38 Na bado wale wenye kula walikuwa wanaume elfu nne, bila kuhesabu wanawake na watoto wachanga.
-