-
Mathayo 16:18Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
18 Pia, nakuambia, Wewe ni Petro, na juu ya tungamo-mwamba hili hakika nitajenga kutaniko langu, na malango ya Hadesi hayatalizidi nguvu.
-