-
Mathayo 18:26Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
26 Ndipo mtumwa huyo akaanguka chini na kuanza kumsujudia, akisema, ‘Uwe na subira kwangu nami nitakulipa kila kitu.’
-
-
Mathayo 18:26Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
26 Kwa hiyo huyo mtumwa akaanguka chini na kuanza kumsujudia, akisema, ‘Uwe mwenye subira kwangu nami hakika nitakulipa kila kitu.’
-