-
Mathayo 21:15Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
15 Makuhani wakuu na waandishi walipoyaona mambo ya kustaajabisha aliyofanya na wale wavulana waliokuwa wakipaaza kilio katika hekalu na kusema: “Okoa Mwana wa Daudi, twasihi!” wakawa wenye kughadhibika
-