-
Mathayo 22:13Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
13 Ndipo mfalme akawaambia watumishi wake, ‘Mfungeni mikono na miguu na kumtupa ndani ya giza kule nje. Huko ndiko kutoa kwake machozi na kusaga meno yake kutakuwa.’
-