-
Mathayo 24:51Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
51 naye atamwadhibu kwa ukali mkubwa zaidi na atamgawia sehemu yake pamoja na wanafiki. Huko ndiko kutoa machozi kwake na kusaga meno kwake kutakakokuwa.
-