-
Mathayo 25:37Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
37 Ndipo waadilifu watamjibu yeye kwa haya maneno, ‘Bwana, ni wakati gani tulipokuona wewe ukiwa mwenye njaa na kukulisha, au ukiwa mwenye kiu, na kukupa kitu cha kunywa?
-