-
Marko 1:21Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
21 Nao wakashika njia yao kwenda Kapernaumu.
Mara baada ya hapo ilipokuwa siku ya sabato akaingia katika sinagogi akaanza kufundisha.
-