- 
	                        
            
            Marko 4:28Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
 - 
                            
- 
                                        
28 Udongo wenyewe hutokeza matunda hatua kwa hatua, kwanza jani, kisha suke, mwishowe nafaka iliyo kamili katika suke.
 
 - 
                                        
 
- 
	                        
            
            Marko 4:28Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
 - 
                            
- 
                                        
28 Ardhi hujizalia yenyewe matunda hatua kwa hatua, kwanza jani la nyasi, kisha suke la bua, mwishowe punje iliyo kamili katika suke.
 
 -